Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Plague stayed

4 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu Plague stayed

  1. Hivyo Aroni akafanya kama Mose alivyosema, akakimbilia katikati ya kusanyiko. Tauni ilikuwa tayari imeanza miongoni mwa watu, lakini Aroni akafukiza uvumba na kufanya upatanisho kwa ajili yao.

  2. Aroni akasimama kati ya waliokuwa hai na waliokufa, nayo tauni ikakoma.

  3. Lakini walikufa watu 14,700 kutokana na tauni hiyo, licha ya wale waliokuwa wamekufa kwa sababu ya Kora.

  4. Ndipo Aroni akamrudia Mose kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma.