Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Balak sends for Balaam

3 mistari · 177 vipengele

Tafuta "Journey of Israel Through The Desert"

Mistari kuhusu Balak sends for Balaam

  1. Kisha Balaki akatuma wakuu wengine, wengi zaidi na wanaoheshimiwa zaidi kuliko wale wa kwanza.

  2. Wakafika kwa Balaamu na kumwambia: “Balaki mwana wa Sipori amesema hivi: Usiruhusu kitu chochote kikuzuie kuja kwangu,

  3. kwa sababu nitakulipa vizuri sana na kufanya lolote usemalo. Njoo unilaanie watu hawa.”