Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Journey of Israel Through The Desert: Orders given respecting Edom

4 mistari · 177 vipengele

Mistari kuhusu Orders given respecting Edom

  1. “Umetembea kuzunguka hii nchi ya vilima kwa muda wa kutosha; sasa geukia kaskazini.

  2. Wape watu maagizo haya: ‘Mko karibu kupita katikati ya nchi ya ndugu zako ambao ni wazao wa Esau, ambao wanaishi Seiri. Watawaogopa, lakini mwe waangalifu.

  3. Msiwachokoze kwa vita kwa maana sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao, hata sehemu ya kutosha kuweka wayo wenu juu yake. Nimempa Esau nchi ya vilima ya Seiri kama yake mwenyewe.

  4. Mtawalipa fedha kwa chakula mtakachokula na maji mtakayokunywa.’ ”