Rukia maudhui

circa 1446–1406 BC

The Wilderness Years

Forty years of wandering in the desert test Israel's faith and prepare a new generation to enter the promised land.

2,247 mistari · 2 vitabu vimehusishwa

Mistari ya kipindi hiki

Chuja kwa kitabu
  1. Wakaondoka Rimon-Peresi na kupiga kambi huko Libna.

  2. Wakaondoka Libna na kupiga kambi huko Risa.

  3. Wakaondoka Risa na kupiga kambi huko Kehelatha.

  4. Wakaondoka Kehelatha na kupiga kambi kwenye mlima Sheferi.

  5. Wakaondoka kwenye mlima Sheferi na kupiga kambi huko Harada.

  6. Wakaondoka Harada na kupiga kambi huko Makelothi.

  7. Wakaondoka Makelothi na kupiga kambi huko Tahathi.

  8. Wakaondoka Tahathi na kupiga kambi huko Tera.

  9. Wakaondoka Tera na kupiga kambi huko Mithka.

  10. Wakaondoka Mithka na kupiga kambi huko Hashmona.

  11. Wakaondoka Hashmona na kupiga kambi Moserothi.

  12. Wakaondoka Moserothi na kupiga kambi huko Bene-Yakani.

  13. Wakaondoka Bene-Yakani na kupiga kambi huko Hor-Hagidgadi.

  14. Wakaondoka Hor-Hagidgadi na kupiga kambi huko Yotbatha.

  15. Wakaondoka Yotbatha na kupiga kambi huko Abrona.

  16. Wakaondoka Abrona na kupiga kambi huko Esion-Geberi.

  17. Wakaondoka Esion-Geberi na kupiga kambi huko Kadeshi katika Jangwa la Sini.

  18. Wakaondoka Kadeshi na kupiga kambi kwenye Mlima Hori, mpakani mwa Edomu.

  19. Kwa amri ya Bwana, kuhani Aroni alipanda Mlima Hori, mahali alipofia katika siku ya kwanza ya mwezi wa tano, mwaka wa arobaini baada ya Waisraeli kutoka Misri.

  20. Aroni alikufa juu ya Mlima Hori akiwa na umri wa miaka 123.

  21. Mfalme Mkanaani wa Aradi, ambaye aliishi huko Negebu ya Kanaani, akasikia kwamba Waisraeli wanakuja.

  22. Wakaondoka kwenye mlima Hori na kupiga kambi huko Salmona.

  23. Wakaondoka Salmona, wakapiga kambi huko Punoni.

  24. Wakaondoka Punoni, wakapiga kambi huko Obothi.

  25. Wakaondoka Obothi, wakapiga kambi huko Iye-Abarimu, mipakani mwa Moabu.