Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Given by inspiration of the Holy Spirit

3 mistari · 108 vipengele

Mistari kuhusu Given by inspiration of the Holy Spirit

  1. “Ndugu zangu, ilibidi Andiko litimie ambalo Roho Mtakatifu alitabiri kupitia kwa Daudi kumhusu Yuda aliyewaongoza wale waliomkamata Yesu.

  2. Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo: “Leo, kama mkiisikia sauti yake,

  3. Kwa maana unabii haukuja kamwe kwa mapenzi ya mwanadamu, bali watu walinena yaliyotoka kwa Mungu wakiongozwa na Roho Mtakatifu.