Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Denunciations against those who add to, or take from

2 mistari · 108 vipengele

Mistari kuhusu Denunciations against those who add to, or take from

  1. Namwonya kila mtu asikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki: Mtu yeyote akiongeza humo chochote, Mungu atamwongezea mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki.

  2. Kama mtu yeyote akipunguza humo chochote katika maneno ya unabii wa kitabu hiki, Mungu atamwondolea sehemu yake katika ule mti wa uzima na katika ule mji mtakatifu, ambao habari zake zimeandikwa katika kitabu hiki.