Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Word of Christ
Mistari kuhusu Word of Christ
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu, mkifundishana na kuonyana katika hekima yote, mkimwimbia Mungu zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, huku mkiwa na shukrani mioyoni mwenu.