Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Blessedness of hearing and obeying

2 mistari · 108 vipengele

Mistari kuhusu Blessedness of hearing and obeying

  1. Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.”

  2. Lakini yeye anayeangalia kwa bidii katika sheria kamilifu, ile iletayo uhuru, naye akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosikia, bali akalitenda, atabarikiwa katika kile anachofanya.