Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Not only heard, but obeyed

3 mistari · 108 vipengele

Mistari kuhusu Not only heard, but obeyed

  1. “Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.

  2. Yesu akajibu, “Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii.”

  3. Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu.