Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Laid up in the heart
Mistari kuhusu Laid up in the heart
Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako.
Yawekeni haya maneno yangu katika mioyo yenu na akili zenu, yafungeni kama alama juu ya mikono yenu na kwenye paji za nyuso zenu.