Mistari ya Biblia kuhusu The Scriptures: Rejoicing the heart
Mistari kuhusu Rejoicing the heart
Maagizo ya Bwana ni kamili, nayo hufurahisha moyo. Amri za Bwana huangaza, zatia nuru machoni.
Sheria zako ni urithi wangu milele, naam ni furaha ya moyo wangu.