Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Very slow to believe

5 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Very slow to believe

  1. Nao wakarudi na kuwaambia wenzao. Lakini hawakuwasadiki wao pia.

  2. Waliporudi kutoka huko kaburini, wakawaeleza wale wanafunzi kumi na mmoja pamoja na wengine wote mambo haya yote.

  3. Lakini hawakuwasadiki hao wanawake, kwa sababu maneno yao yalionekana kama upuzi.

  4. Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka.

  5. Lakini Yesu akawauliza, “Kwa nini mnaogopa? Kwa nini mna shaka mioyoni mwenu?