Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Apostles, except Thomas

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Apostles, except Thomas

  1. Ikawa jioni ya ile siku ya kwanza ya juma, wanafunzi wake walikuwa pamoja, milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi. Naye Yesu aliwatokea, akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”

  2. Lakini Tomaso, aliyeitwa Didimasi, yaani Pacha, mmoja wa wale kumi na wawili, hakuwa pamoja nao Yesu alipokuja.