Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Apostles

4 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Apostles

  1. kuanzia ubatizo wa Yohana mpaka siku aliyochukuliwa kutoka kwetu kwenda Mbinguni. Kwa kuwa mmoja wao inabidi awe shahidi pamoja nasi wa ufufuo wake.”

  2. Mungu alimfufua huyu Yesu na sisi sote ni mashahidi wa jambo hilo.

  3. Hivyo mkamuua aliye chanzo cha uzima, lakini Mungu akamfufua kutoka kwa wafu. Sisi tu mashahidi wa mambo haya.

  4. Mitume wakatoa ushuhuda wa kufufuka kwa Bwana Yesu kwa nguvu nyingi na neema ya Mungu ilikuwa juu yao wote.