Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Foretold by Himself

7 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Foretold by Himself

  1. na kumtia mikononi mwa watu wa Mataifa ili wamdhihaki na kumpiga mijeledi na kumsulubisha msalabani. Naye atafufuliwa siku ya tatu!”

  2. Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoona, mpaka Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka kutoka kwa wafu.

  3. Lakini baada ya kufufuka kwangu, nitawatangulia kwenda Galilaya.”

  4. Yesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

  5. Wale Wayahudi wakamjibu, “Hekalu hili lilijengwa kwa muda wa miaka arobaini na sita, nawe wasema utalijenga kwa siku tatu?”

  6. Lakini yeye Hekalu alilozungumzia ni mwili wake.

  7. Baada ya kufufuliwa kutoka kwa wafu, wanafunzi wake wakakumbuka yale aliyokuwa amesema. Ndipo wakayaamini Maandiko na yale maneno Yesu aliyokuwa amesema.