Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Foretold by the prophets

4 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Foretold by the prophets

  1. kwa maana hutaniacha kaburini, wala hutamwacha Mtakatifu Wako kuona uharibifu.

  2. Lakini wafu wenu wataishi, nayo miili yao itafufuka. Ninyi mnaokaa katika mavumbi, amkeni mkapige kelele kwa furaha. Umande wenu ni kama umande wa asubuhi, dunia itawazaa wafu wake.

  3. Kwa kuwa Mungu alimfufua kutoka kwa wafu asioze kamwe, alitamka maneno haya: “ ‘Nitakupa wewe baraka takatifu zilizo za hakika nilizomwahidi Daudi.’

  4. Kama ilivyosemwa mahali pengine katika Zaburi, “ ‘Hutamwacha Aliye Mtakatifu wako kuona uharibifu.’