Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Is an emblem of the new birth

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Is an emblem of the new birth

  1. Kwa hiyo tulizikwa pamoja naye kwa njia ya ubatizo katika mauti, ili kama vile Kristo alivyofufuliwa kutoka kwa wafu kwa utukufu wa Baba, vivyo hivyo sisi nasi pia tupate kuenenda katika upya wa uzima.

  2. mkiwa mmezikwa pamoja naye katika ubatizo, na kufufuliwa pamoja naye kwa njia ya imani yenu katika uweza wa Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu.