Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: On the third day after his death

4 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu On the third day after his death

  1. Yesu alipofufuka alfajiri na mapema siku ya kwanza ya juma alimtokea kwanza Maria Magdalene, yule ambaye alikuwa amemtoa pepo wachafu saba.

  2. Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu.

  3. Lakini Mungu alimfufua kutoka kwa wafu siku ya tatu na akamwezesha kuonekana na watu.

  4. ya kuwa alizikwa na alifufuliwa siku ya tatu, kama yasemavyo Maandiko,