Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: Shall rise in the likeness of

3 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Shall rise in the likeness of

  1. Kwa maana ikiwa tumeungana naye katika mauti yake, bila shaka tutaungana naye katika ufufuo wake.

  2. Kama vile tulivyochukua mfano wa mtu wa ardhini, ndivyo tutakavyochukua mfano wa yule mtu aliyetoka mbinguni.

  3. atakayeubadili mwili wetu wa unyonge, ili upate kufanana na mwili wake wa utukufu, kwa uweza ule ambao kwa huo aweza hata kuvitiisha vitu vyote chini yake.