Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Resurrection of Christ: His own power

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu His own power

  1. Yesu akawajibu, “Libomoeni hili Hekalu, nami nitalijenga tena kwa siku tatu!”

  2. Hakuna mtu aniondoleaye uhai wangu, bali ninautoa kwa hiari yangu mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuutwaa tena. Amri hii nimepewa na Baba yangu.”