Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Trouble and distress

2 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Trouble and distress

  1. Kisha wataangalia duniani na kuona tu dhiki na giza, hofu na huzuni tupu, nao watasukumiwa kwenye giza nene kabisa.

  2. Siku ile ni siku ya ghadhabu, siku ya fadhaa na dhiki, siku ya uharibifu na ukiwa, siku ya giza na utusitusi, siku ya mawingu na giza nene,