Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Everlasting burnings
Mistari kuhusu Everlasting burnings
Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu, kutetemeka kumewakumba wasiomcha Mungu: “Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto ulao? Ni nani miongoni mwetu awezaye kuishi na moto unaowaka milele?”