Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Unbelief

5 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Unbelief

  1. Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokoka. Lakini yeyote asiyeamini atahukumiwa.

  2. Hii ni kweli. Matawi hayo yalikatwa kwa sababu ya kutokuamini kwake, lakini wewe umesimama tu kwa sababu ya imani. Kwa hiyo usijivune, bali simama kwa kuogopa.

  3. Ni nani hao ambao Mungu aliapa kuwa kamwe hawataingia rahani mwake isipokuwa ni wale waliokataa kutii?

  4. Hivyo tunaona kwamba hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.

  5. Kwa maana sisi pia tumesikia Injili iliyohubiriwa kwetu, kama nao walivyosikia; lakini ujumbe ule waliousikia haukuwa na maana kwao, kwa sababu wale waliousikia hawakuuchanganya na imani.