Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Deliverance to enemies
Mistari kuhusu Deliverance to enemies
Hivyo ukawatia mikononi mwa adui zao, ambao waliwatesa. Lakini walipoteswa, wakakulilia wewe. Kutoka mbinguni uliwasikia, nawe kwa huruma zako kuu ukawapa waokozi, waliowaokoa kutoka mikononi mwa adui zao.