Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Sickness
Mistari kuhusu Sickness
ndipo nitakapowafanyia hili: Nitawaletea juu yenu hofu ya ghafula, magonjwa ya kufisha, na homa itakayopofusha macho yenu na kuwaondolea uhai wenu. Mtapanda mbegu bila mafanikio, kwa sababu adui zenu wataila.
Aliitengenezea njia hasira yake, hakuwaepusha na kifo, bali aliwaachia tauni.