Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Often brought about by their evil designs

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Often brought about by their evil designs

  1. Kwa hiyo wakamtundika Hamani mahali alipokuwa ameandaa kwa ajili ya Mordekai. Ndipo ghadhabu ya mfalme ikatulia.

  2. Lakini panga zao zitachoma mioyo yao wenyewe, na pinde zao zitavunjwa.

  3. Waliitegea miguu yangu nyavu, nikainamishwa chini na dhiki. Wamechimba shimo katika njia yangu, lakini wametumbukia humo wao wenyewe.