Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Pride
Mistari kuhusu Pride
Bwana atakapokuwa amemaliza kazi yake yote dhidi ya Mlima Sayuni na Yerusalemu, atasema, “Nitamwadhibu mfalme wa Ashuru kwa ajili ya majivuno ya ukaidi wa moyo wake na kutazama kwa macho yenye dharau.”
Katika siku ile Bwana ataadhibu nguvu zilizoko mbinguni juu, na wafalme walioko duniani chini.
Kwa maana kila mtu ajikwezaye atashushwa, naye ajishushaye atakwezwa.”