Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Bringing down their pride
Mistari kuhusu Bringing down their pride
Nitauadhibu ulimwengu kwa ajili ya uovu wake, waovu kwa ajili ya dhambi zao. Nitakomesha majivuno ya wenye kiburi, na nitakishusha kiburi cha watu wakatili.