Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Everlasting destruction

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Everlasting destruction

  1. Hakika Mungu atakushusha chini kwa maangamizi ya milele: atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu kutoka hema yako, atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai.

  2. ingawa waovu huchipua kama majani na wote watendao mabaya wanastawi, wataangamizwa milele.

  3. Wataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake,