Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Fear

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Fear

  1. “ ‘Kwa habari ya wenzenu wale watakaobaki, nitaifanya mioyo yao kuwa na hofu kuu katika nchi za adui zao, kiasi kwamba sauti ya jani linalopeperushwa na upepo itawafanya wakimbie. Watakimbia kana kwamba wanakimbia upanga, nao wataanguka, ingawa hakuna anayewafukuza.

  2. Watajikwaa mmoja juu ya mwingine kama wakimbiao upanga, hata ingawa hakuna anayewafuatia. Hivyo hamtaweza kusimama mbele ya adui zenu.

  3. Vitisho vimemtia hofu kila upande, na adui zake humwandama kila hatua.