Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Hell

4 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Hell

  1. Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.

  2. Jicho lako la kuume likikusababisha kutenda dhambi, lingʼoe ulitupe mbali. Ni afadhali kwako kupoteza kiungo kimoja cha mwili wako kuliko mwili wako mzima ukatupwa jehanamu.

  3. Lakini nitawaambia nani wa kumwogopa: Mwogopeni yule ambaye baada ya kuua mwili, ana mamlaka ya kuwatupa motoni. Naam, nawaambia, mwogopeni huyo!

  4. Kule kuzimu alipokuwa akiteseka, alitazama juu, akamwona Abrahamu kwa mbali, naye Lazaro alikuwa karibu yake.