Mistari ya Biblia kuhusu The Punishment of the Wicked: Noisome beasts
Mistari kuhusu Noisome beasts
Nitawatuma wanyama mwitu dhidi yenu, nao watawaibieni watoto wenu, watawaangamiza ngʼombe wenu, na kuifanya idadi yenu kuwa ndogo, hivi kwamba barabara zenu zitakuwa hazina watu.