Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Had each two tenons fitted into sockets of silver

5 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Had each two tenons fitted into sockets of silver

  1. zikiwa na ndimi mbili zilizo sambamba kila mmoja na mwingine. Tengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.

  2. kisha tengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.

  3. zikiwa na ndimi mbili zilizokuwa sambamba kila mmoja na mwingine. Wakatengeneza mihimili yote ya maskani jinsi hii.

  4. Wakatengeneza mihimili ishirini kwa ajili ya upande wa kusini wa maskani,

  5. na wakatengeneza vitako arobaini vya fedha vya kuweka chini ya hiyo mihimili, vitako viwili kwa kila mhimili, kimoja chini ya kila ulimi.