Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Tabernacle of the congregation

3 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Tabernacle of the congregation

  1. Katika Hema la Kukutania, nje ya pazia lililo mbele ya Sanduku la Ushuhuda, Aroni na wanawe watahakikisha kuwa taa hizo zinawaka kuanzia jioni mpaka asubuhi mbele za Bwana. Hili litakuwa agizo la milele miongoni mwa Waisraeli kwa vizazi vyote vijavyo.

  2. Basi Mose alikuwa na desturi ya kuchukua hema na kuliweka wakfu nje ya kambi umbali kiasi, akaliita “Hema la Kukutania.” Kila aliyekuwa akiulizia shauri kwa Bwana, angelikwenda katika Hema la Kukutania nje ya kambi.

  3. Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia