Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Anointed with holy oil

4 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Anointed with holy oil

  1. Vitengeneze vikolezi hivi kuwa mafuta matakatifu ya upako yenye harufu nzuri, kazi ya mtengeneza manukato. Yatakuwa mafuta matakatifu ya upako.

  2. Kisha yatumie kupaka hilo Hema la Kukutania, Sanduku la Ushuhuda,

  3. Ndipo Mose akachukua mafuta ya upako na kuipaka maskani na kila kitu kilichokuwamo ndani yake, kisha akaviweka wakfu.

  4. Mose alipomaliza kuisimamisha Maskani, aliitia mafuta na kuiweka wakfu pamoja na samani zake zote. Pia alitia madhabahu mafuta na kuiweka wakfu, pamoja na vyombo vyake vyote.