Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: The table of show-bread, the golden candlestick, and the altar of incense were place in the holy place

5 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu The table of show-bread, the golden candlestick, and the altar of incense were place in the holy place

  1. Weka meza nje ya pazia upande wa kaskazini wa Hema, kisha weka kinara cha taa upande wa kusini wa Hema.

  2. Mose akaweka meza ndani ya Hema la Kukutania, upande wa kaskazini ya Maskani ya Mungu nje ya pazia

  3. Akaweka kinara cha taa ndani ya Hema la Kukutania mkabala na meza upande wa kusini mwa Maskani ya Mungu

  4. Mose akaweka madhabahu ya dhahabu ndani ya Hema la Kukutania mbele ya pazia

  5. Hema ilitengenezwa. Katika sehemu yake ya kwanza kulikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyowekwa wakfu; hii sehemu iliitwa Mahali Patakatifu.