Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Pitched their tents around

4 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Pitched their tents around

  1. Hata hivyo, Walawi watapiga mahema yao kuzunguka Maskani ya Ushuhuda ili ghadhabu isiipate jumuiya ya Waisraeli. Walawi watawajibika kwa utunzaji wa Maskani ya Ushuhuda.”

  2. Ukoo wa Wagershoni walitakiwa kuweka kambi zao upande wa magharibi, nyuma ya Maskani.

  3. Koo za Wakohathi zilitakiwa kuweka kambi zao upande wa kusini wa Maskani.

  4. Kiongozi wa jamaa za koo za Wamerari alikuwa Surieli mwana wa Abihaili; hawa walitakiwa kuweka kambi zao upande wa kaskazini mwa Maskani.