Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Was a moveable tent suited to the unsettled condition of Israel

2 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Was a moveable tent suited to the unsettled condition of Israel

  1. Sijakaa ndani ya nyumba tangu siku niliyowaleta Waisraeli kutoka Misri hadi leo. Nimekuwa nikitembea kutoka mahali pamoja hadi mahali pengine ndani ya hema kama makao yangu.

  2. Popote nilipotembea pamoja na Waisraeli wote, je, nimewahi kumwambia kiongozi wao yeyote niliyemwamuru kuwachunga watu wangu Israeli, “Kwa nini hujanijengea nyumba ya mierezi?” ’