Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Temple of the Lord

2 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Temple of the Lord

  1. Siku moja walipokuwa wamemaliza kula na kunywa huko Shilo, Hana alisimama. Wakati huo kuhani Eli alikuwa ameketi kwenye kiti pembeni mwa mwimo wa mlango wa Hekalu la Bwana.

  2. Taa ya Mungu bado ilikuwa haijazimika, na Samweli alikuwa amelala Hekaluni mwa Bwana, ambapo Sanduku la Mungu lilikuwako.