Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Tabernacle: Did the inferior service of

3 mistari · 94 vipengele

Mistari kuhusu Did the inferior service of

  1. “Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie.

  2. Watafanya huduma kwa ajili yake na kwa jumuiya yote katika Hema la Kukutania kwa kufanya kazi za Maskani.

  3. Watatunza samani zote za Hema la Kukutania, wakitimiza wajibu wa kuhudumia Waisraeli kwa kufanya kazi ya Maskani.