Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Shem

81 mistari · 4 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. Baal-Hanani alipofariki, Hadadi akawa mfalme baada yake. Mji wake uliitwa Pau, na mkewe aliitwa Mehetabeli binti Matredi, binti Me-Zahabu.

  2. Naye Hadadi pia akafa. Wakuu wa Edomu walikuwa: Timna, Alva, Yethethi,

  3. Oholibama, Ela, Pinoni,

  4. Kenazi, Temani, Mibsari,

  5. Magdieli na Iramu. Hao ndio wakuu wa makabila ya Edomu.

  6. Sala alikuwa mwana wa Kenani, Kenani alikuwa mwana wa Arfaksadi, Arfaksadi alikuwa mwana wa Shemu, Shemu alikuwa mwana wa Noa, Noa alikuwa mwana wa Lameki,