Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Have, imputed
Mistari kuhusu Have, imputed
Alipewa ishara ya tohara kuwa muhuri wa haki aliyokuwa nayo kwa imani hata alipokuwa bado hajatahiriwa. Kusudi lilikuwa kumfanya baba wa wote wale waaminio pasipo kutahiriwa na ambao wamehesabiwa haki.
Hii ndio sababu, “ilihesabiwa kwake kuwa haki.”