Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Characterised by

3 mistari · 132 vipengele

Mistari kuhusu Characterised by

  1. Hilo na liwe mbali nawe, kufanya jambo kama hilo, kuwaua wenye haki pamoja na waovu, kuwatendea wenye haki sawasawa na waovu. Iwe mbali nawe! Je, Mwamuzi wa dunia yote hatafanya lililo sawa?”

  2. Kwa hiyo waovu hawatastahimili hukumu, wala wenye dhambi katika kusanyiko la wenye haki.

  3. Kwa maana Bwana huziangalia njia za mwenye haki, bali njia ya waovu itaangamia.