Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Promised to the Church

4 mistari · 132 vipengele

Mistari kuhusu Promised to the Church

  1. Haki itakaa katika jangwa, na uadilifu utakaa katika shamba lenye rutuba.

  2. “Enyi mbingu juu, nyesheni haki, mawingu na yaidondoshe. Dunia na ifunguke sana, wokovu na uchipuke, haki na ikue pamoja nao. Mimi, Bwana, ndiye niliyeiumba.

  3. Kwa maana kama vile ardhi ifanyavyo chipukizi kuota, na bustani isababishavyo mbegu kuota, ndivyo Bwana Mwenyezi atafanya haki na sifa zichipuke mbele ya mataifa yote.

  4. Kwa ajili ya Sayuni sitanyamaza, kwa ajili ya Yerusalemu sitatulia, mpaka haki yake itakapoangaza kama mapambazuko, wokovu wake kama mwanga wa moto.