Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Pray for the fruit of, in their people

2 mistari · 132 vipengele

Mistari kuhusu Pray for the fruit of, in their people

  1. Yeye ampaye mpanzi mbegu kwa ajili ya kupanda na mkate kuwa chakula, atawapa na kuzizidisha mbegu zenu za kupanda na kuongeza mavuno ya haki yenu.

  2. mkiwa mmejawa na matunda ya haki yapatikanayo kwa njia ya Yesu Kristo, kwa utukufu na sifa za Mungu.