Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Slay those who follow

3 mistari · 132 vipengele

Mistari kuhusu Slay those who follow

  1. Watu waovu huvizia wenye haki, wakitafuta kuwaua;

  2. Hivyo ile damu ya wenye haki wote iliyomwagwa hapa duniani, tangu damu ya Abeli, ambaye alikuwa hana hatia, hadi damu ya Zekaria mwana wa Barakia, mliyemuua kati ya patakatifu na madhabahu, itawajia juu yenu.

  3. Msiwe kama Kaini aliyekuwa wa yule mwovu akamuua ndugu yake. Basi kwa nini alimuua? Ni kwa sababu matendo yake Kaini yalikuwa mabaya na ya ndugu yake yalikuwa ya haki.