Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Righteousness: Have their prayers heard

3 mistari · 132 vipengele

Mistari kuhusu Have their prayers heard

  1. Wenye haki hulia, naye Bwana huwasikia, huwaokoa katika taabu zao zote.

  2. Bwana yuko mbali na waovu, bali husikia maombi ya wenye haki.

  3. Kwa maana macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, na masikio yake yako makini kusikiliza maombi yao. Bali uso wa Bwana uko kinyume na watendao maovu.”