Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Music

324 mistari · 57 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

Chuja kwa kitabu
  1. ya saba ikamwangukia Yesarela, // wanawe na jamaa zake, 12

  2. ya nane ikamwangukia Yeshaya, wanawe na jamaa zake, 12

  3. ya tisa ikamwangukia Matania, wanawe na jamaa zake, 12

  4. ya kumi ikamwangukia Shimei, wanawe na jamaa zake, 12

  5. ya kumi na moja ikamwangukia Azareli, // wanawe na jamaa zake, 12

  6. ya kumi na mbili ikamwangukia Hashabia, wanawe na jamaa zake, 12

  7. ya kumi na tatu ikamwangukia Shubaeli, wanawe na jamaa zake, 12

  8. ya kumi na nne ikamwangukia Matithia, wanawe na jamaa zake, 12

  9. ya kumi na tano ikamwangukia Yeremothi, wanawe na jamaa zake, 12

  10. Ya kumi na sita ikamwangukia Hanania, wanawe na jamaa zake, 12

  11. ya kumi na saba ikamwangukia Yoshbekasha, wanawe na jamaa zake, 12

  12. ya kumi na nane ikamwangukia Hanani, wanawe na jamaa zake, 12

  13. ya kumi na tisa ikamwangukia Malothi, wanawe na jamaa zake, 12

  14. ya ishirini ikamwangukia Eliatha, wanawe na jamaa zake, 12

  15. ya ishirini na moja ikamwangukia Hothiri, wanawe na jamaa zake, 12

  16. ya ishirini na mbili ikamwangukia Gidalti, wanawe na jamaa zake, 12

  17. ya ishirini na tatu ikamwangukia Mahaziothi, wanawe na jamaa zake, 12

  18. ya ishirini na nne ikamwangukia Romamti-Ezeri, wanawe na jamaa zake, 12.

  19. Basi makuhani wakaondoka hapo Mahali Patakatifu. Makuhani wote waliokuwa huko walikuwa wamejiweka wakfu, bila kujali migawanyo yao.

  20. Walawi wote waliokuwa waimbaji, yaani, Asafu, Hemani, Yeduthuni, wana wa ndugu zao, walisimama upande wa mashariki wa madhabahu, wakiwa wamevaa kitani safi huku wakipiga matoazi, vinubi na zeze. Walikuwa pamoja na makuhani 120 wakipiga tarumbeta.

  21. Wapiga tarumbeta na waimbaji wakaungana katika sauti linganifu, ikawa kama vile ni sauti moja, wakimsifu na kumshukuru Bwana, nao alipoinua sauti zao pamoja na tarumbeta na matoazi na vyombo vingine vya uimbaji, wakamsifu Bwana wakisema: “Yeye ni mwema; upendo wake unadumu milele.” Ndipo Hekalu la Bwana likajazwa na wingu,

  22. Makuhani wakasimama kwenye nafasi zao, vivyo hivyo Walawi wakiwa na vyombo vya uimbaji vya Bwana ambavyo Mfalme Daudi alikuwa ametengeneza kwa ajili ya kumsifu Bwana, navyo vilitumika wakati aliposhukuru, akisema, “Upendo wake wadumu milele.” Mkabala na Walawi, makuhani walipiga tarumbeta zao, nao Waisraeli wote walikuwa wamesimama.

  23. Ndipo baadhi ya Walawi kutoka kwa Wakohathi na kwa wana wa Kora wakasimama na kumsifu Bwana, Mungu wa Israeli, kwa sauti kuu sana.

  24. Alipomaliza kushauriana na watu, Yehoshafati akawaweka watu wa kumwimbia Bwana na kumsifu katika utukufu wa utakatifu wake walipokuwa wametangulia mbele ya jeshi, wakisema: “Mshukuruni Bwana kwa kuwa upendo wake wadumu milele.”

  25. Walipoanza kuimba na kusifu, Bwana akaweka waviziao dhidi ya watu wa Amoni, Moabu na wale wa Mlima Seiri waliokuwa wamekuja kuishambulia Yuda, nao wakashindwa.