Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Music: (Ceasing of,) of calamities

3 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu (Ceasing of,) of calamities

  1. Furaha ya matoazi imekoma, kelele za wenye furaha zimekoma, shangwe za kinubi zimenyamaza.

  2. Hawanywi tena mvinyo pamoja na wimbo, kileo ni kichungu kwa wanywaji wake.

  3. Nyimbo za wapiga vinubi na waimbaji, wapiga filimbi na wapiga tarumbeta kamwe hazitasikika tena ndani yako. Ndani yako kamwe hataonekana tena fundi mwenye ujuzi wa aina yoyote. Wala sauti ya jiwe la kusagia kamwe haitasikika tena.