Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Music: Generally put aside in times of affliction

4 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Generally put aside in times of affliction

  1. Kwenye miti ya huko tulitundika vinubi vyetu,

  2. kwa maana huko hao waliotuteka walitaka tuwaimbie nyimbo, watesi wetu walidai nyimbo za furaha; walisema, “Tuimbieni wimbo mmoja kati ya nyimbo za Sayuni!”

  3. Tutaimbaje nyimbo za Bwana, tukiwa nchi ya kigeni?

  4. Kisha mfalme akarudi kwenye jumba lake la kifalme, naye usiku kucha hakula chakula wala kutumia viburudisho alivyoletewa. Lakini hakuweza kulala.